Wakuu wa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda wamekutana jijini
Arusha na viongozi wa nchi za Sudan na Sudani
Kusini zinazokabiliwa na mapigano ikiwa ni sehemu ya jitihada
za kutafuta suluhu ya mgogoro huo.
Lengo la kukutana kwa viongozi hao ni kushuhudia utiaji
saini wa makubaliano ya mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea kwa
usimamizi na
↧