Hofu imeendelea kutanda kwa wafungaji mkoani Morogoro kufuatia
bodaboda kuendelea kuwavamia na kuwapora wafugaji kila wanapoonekana
katika mji wa Morogoro kwa madai ya kulipiza kisasi baada ya mkulima
mmoja kuuwawa katika bonde la Mgongola ambapo wafanyabiashara, wafugaji
na wanaofanya shughuli za ulinzi wamelazimika kuukimbia mji wa Morogoro
na baadhi ya wanafunzi wa vyuo kurudi
↧