Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM Abdulrahaman Kinana amepokewa
kwa mabango na wananchi wa kijiji cha Miwani jimbo la uzini wilaya ya
kati mkoa wa Kunisi Unguja Zanzibar wakimuomba kuwatatulia kero
mbalimbali za kijiji hicho, ikiwemo maji,barabara na huduma za afya,
sanjali na kuingilia kati mgogoro wa kutoelewana baina ya mbunge na
mwakilishi wa jimbo hilo la uzini.
Kufuatia
↧