KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inakutana leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali likiwemo suala la Uchaguzi Mkuu baadaye, mwaka huu.
Mambo mengine yatakayojadiliwa na Kamati hiyo ni pamoja na kucheleweshwa kwa mchakato wa daftari la kudumu la wapiga kura, kujadili mchakato wa kura ya maoni ya Katiba mpya na maandilizi ya uchaguzi wa
↧