KAMATI ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC), imekiri kuwa hadi sasa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ipo, lakini pamoja na kusainiwa na Rais bado haijaanza kutekelezwa jambo linalosababisha misamaha ya kodi izidi kupaa.
Hayo yalibainishwa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kabwe Zitto, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kauli ya Ikulu
↧