Mwanamitindo Amber Rose ameamua kutupia picha nyingine zinazoonyesha sehemu ya mwili wake katika mtandao wa Instagram.
Amber ametupia picha hizo ikiwa ni siku moja tangu aweke picha
zeke nyingine zilizokuwa zikionyesha maungo yake akiwa katika vazi la
bikini nyeusi.
Amber mwenye miaka 31, mama wa mtoto mmoja, ametupia picha hizo jana
zenye unafuu kidogo kuliko za
↧