Mohamed Khalfan ambaye ni kikongwe wa miaka 78 mwenye ulemavu wa
ukoma na mkewe, Habiba Shomari (68) hivi karibuni waliwashangaza watu
baada ya kuamua kumwagiana mabusu hadharani.
Tukio hilo lilijiri kwenye Kambi ya Walemavu wa Ukoma ya Chazi
iliyopo Kata ya Chazi wilayani Mvomero mkoani Morogoro ambapo kulikuwa na
kikao cha serikali za mtaa kutatua mgogoro wa ardhi.
Akizungumza
↧