Sakata la Escrow: Chenge, Ngeleja Waachia Ngazi Bungeni.......Spika wa Bunge...
WENYEVITI wa Kamati za Kudumu za Bunge, waliopendekezwa kuwajibishwa na Bunge hilo katika sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow, wamejiuzulu nyadhifa zao. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Spika...
View ArticleKinana apiga MARUFUKU ziara za mikoani za Mwigulu Nchemba kwa madai kuwa zina...
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara), Mwigulu Nchemba amekubali kuitikia wito wa kusitisha ziara zake za kichama katika mikoa na wilaya mbalimbali nchini, kama alivyoagizwa na Katibu Mkuu wa chama...
View ArticlePicha Pamoja na habari kwa Kina kuhusiana na Majambazi yaliyovamia kituo cha...
Askari wawili wa Jeshi la Polisi katika Kituo cha Ikwiriri wilayani Rufiji mkoani Pwani, wameuawa baada ya kushambuliwa kwa silaha na majambazi, waliovamia kituo hicho na kuiba silaha baada ya...
View ArticleMafuriko yaikumba Mtwara, nyumba 200 zazingirwa na maji, RC atoa saa 24...
Zaidi ya nyumba 200 zimezingirwa na maji katika Manispaa ya Mtwara Mikindani kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha hasara kubwa ambayo thamani yake bado haijajulikana. Kufuatia hali...
View ArticleZaidi ya wanafunzi 600,000 wahofu kutopiga kura uchaguzi mkuu ujao.
Zaidi ya wanafunzi laki sita wa vyuo vikuu, vyuo vya kati na kidato cha nne nchini huwenda wasishiriki kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu ujao kutokana na ratiba ya wizara ya elimu kuhusu mihula ya...
View ArticleWanafunzi wakosa Makazi baada ya Mabweni kuungua moto
Wanafunzi 64 wa kike wanaosoma kidato cha tano na cha sita katika shule ya sekondari ya Mpwapwa iliyopo mkoani Dodoma wamehifadhiwa katika mabweni ya chuo cha ualimu Mpwapwa kufuatia bweni lao...
View ArticleWema Sepetu Hajampeleka Diamond Mahakamani Kwa Deni La Milion 10 – Martin...
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini likiwemo gazeti la Mtanzania kuwa amempeleka Diamond polisi kwa kile kinachosemwa ni...
View ArticleWatafiti wabaini mtindo wa Mwanamke kuwa juu ya mwanaume wakati wa tendo la...
Wanasayansi nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi katika ufanyaji tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume. Kwa mujibu wa utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya...
View ArticleHakiElimu Waponda Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika Elimu
Shirika la haki Elimu nchini Tanzania limetoa tathmini ya mpango wa matokeo makubwa sasa BRN katika sekta ya elimu kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita inayoonesha kwamba hali ya utekelezaji wa mpango...
View ArticleDiamond Platnumz ameingia tena kwenye Top 10 ya Trace TV ya Ufaransa
Post hii ni maalumu kwajili yako mpendwa msomaji kama ulikuwa na hamu ya kufahamu video za Afrika zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa....
View ArticleVurugu zaibuka tena wakati wa zoezi la Kumwapisha Rasmi Mwenyekiti wa Mtaa wa...
Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Hella Mlimanazi (kushoto), akiwaapisha Wenyeviti wateule wa serikali za Mitaa wa Migombani na Minazi Mirefu katika Kata ya Segerea jijini Dar es Salaam, Japheth Kembo...
View ArticleMwanamke auawa kwa Mapanga Musoma
Matukio ya mauaji ya kikatili dhidi ya wanawake katika wilaya ya Butiama yameanza kurejea upya baada ya mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Maneke katika halmashauri...
View ArticlePanya waharibu ekari 880 za mashamba
PANYA wamevamia na kuharibu ekari 880 za mashamba ya mahindi na mbaazi katika kata ya Rondo mkoani Lindi. Ofisa Kilimo wa kata hiyo, Yahaya Nampate alisema hayo jana wakati alipokuwa akizungumza na...
View ArticleCCM yarejesha amani Sudan Kusini....Makundi hasimu yaafikiana, Yatia Saini...
Baada ya miezi mitano ya mazungumzo ya kurejesha amani Sudan Kusini yaliyoratibiwa na chama tawala, CCM, hatimaye Rais wa nchi hiyo, Salva Kiir na hasimu wake, Riek Machar wamesaini makubaliano ya...
View ArticleKamati ya Zitto Kabwe Yamvaa Mbunge wa Kibaha
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeiagiza Bodi ya Korosho Tanzania, kuandika barua inayoeleza hatua walizochukua katika kurudisha nyumba iliyouzwa kwa Mbunge wa Kibaha Mjini, Silvestry...
View ArticleWatu Wawili wauawa kikatili Sumbawanga
WATU wawili wakazi wa wilaya ya Mlele mkoani Katavi wameuawa kikatili ambapo mmoja amecharangwa kwa mapanga na mwili wake kukatwa vipande vipande kisha kuzikwa shambani kwake na mwingine kuchinjwa na...
View ArticleWagombea Udiwani Watakiwa Kupima Virusi Vya Ukimwi Kabla ya Kuchua Fomu za...
MADIWANI wa Halmashauri ya Nsimbo wilayani Mlele katika mkoa wa Katavi wameshauriwa kupima afya zao ili kubaini kama wana maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kabla ya kuchukua fomu za kugombea...
View ArticleKiuno cha Demu wa Diamond Chamchengua Ommy Dimpoz
Umbile la mwanadada aliyefahamika kwa jina moja la Avril kutoka Kenya ambaye aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, hivi karibuni lilionesha kumchengua msanii wa Bongo...
View ArticleACT Walia kiongozi wao kuuawa......Ni yule aliyechinjwa Kinyama na kupikwa...
CHAMA cha ACT-Tanzania kimelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwasaka na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wote waliohusika na tukio la mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Masigo wilayani...
View ArticleDr. Mwakyembe Aibua Mshituko.....Wasomi Wahoji Sababu za Kumwondoa Wizara ya...
Wasomi na wananchi kadhaa jana walizungumzia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Rais Jakaya Kikwete, wengi wakihoji sababu za kumhamisha Dk Harrison Mwakyembe kutoka Wizara ya Uchukuzi...
View Article