Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa zilizoandikwa
kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini likiwemo gazeti la Mtanzania
kuwa amempeleka Diamond polisi kwa kile kinachosemwa ni kumtapeli
shilingi milioni 10.
Martin amesema kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo.
“Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani. Kwa
↧