Wanafunzi 64 wa kike wanaosoma kidato cha tano na cha sita katika shule
ya sekondari ya Mpwapwa iliyopo mkoani Dodoma wamehifadhiwa katika
mabweni ya chuo cha ualimu Mpwapwa kufuatia bweni lao kuteketea kwa moto
juzi.
Akithibitisha
kutokea kwa moto huo mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Christopher Kangoye
alisema kuwa wamelazimika kuwahamishia wasichana hao katika mabweni ya
chuo cha
↧