Zaidi ya wanafunzi laki sita wa vyuo vikuu, vyuo vya kati na kidato cha
nne nchini huwenda wasishiriki kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu ujao
kutokana na ratiba ya wizara ya elimu kuhusu mihula ya kufunga na
kufungua vyuo nchini kukinzana ya NEC.
Ratiba
ya mihula ya kufunga na kufungua vyuo ambayo imetolewa na Wizara ya
Elimu mwaka huu, imeibua hofu kwa wasomi wa vyuo mbalimbali
↧