Post hii ni maalumu kwajili yako mpendwa msomaji kama ulikuwa na hamu
ya kufahamu video za Afrika zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa
kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa.
Kituo
cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa, Jan 21
kilitoa list ya top 10 ya nyimbo kali za Afrika ikiwemo ya Diamond
Platnumz iitwayo Nitampata Wapi.
Hii ni list ya
↧