Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Hella Mlimanazi (kushoto), akiwaapisha
Wenyeviti wateule wa serikali za Mitaa wa Migombani na Minazi Mirefu
katika Kata ya Segerea jijini Dar es Salaam, Japheth Kembo (Chadema) na
Ubaya Chuma (CCM), katika zoezi la kuwaapisha rasmi baada ya mgogoro wa
muda mrefu, lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Hella Mlimanazi
↧