Matukio ya mauaji ya kikatili dhidi ya wanawake katika wilaya ya Butiama yameanza kurejea upya baada ya mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Maneke katika halmashauri ya Musoma mkoani Mara kuuawa kinyama kwa kukatwa mapanga tukio ambalo limehusishwa na imani za kishirikina.Kamanda wa polisi mkoa wa Mara kamishna msaidizi wa jeshi
↧