PANYA wamevamia na kuharibu ekari 880 za mashamba ya mahindi na mbaazi katika kata ya Rondo mkoani Lindi. Ofisa Kilimo wa kata hiyo, Yahaya Nampate alisema hayo jana wakati alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge inayoshughulikia kilimo, maji na mifugo.
Kamati hiyo ilikwenda kufanya ukaguzi wa chanzo cha maji cha Rondo na kuambiwa kwamba panya wanahatarisha usalama wa
↧