Shirika
la haki Elimu nchini Tanzania limetoa tathmini ya mpango wa matokeo
makubwa sasa BRN katika sekta ya elimu kwa kipindi cha mwaka mmoja
uliopita inayoonesha kwamba hali ya utekelezaji wa mpango huo si ya
kuridhisha.
Kaimu mkurugenzi wa shirika hilo Bw. Godfrey Boniventura amesema kuwa
pamoja na serikali kutambua kuwa sekta ya elimu hapa nchini ina
changamoto nyingi na
↧