Mbunifu wa Mavazi toka Tanzania, Sheria Ngowi Amvalisha Rais Mpya wa Zambia
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi ameendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania kupitia kipaji chake cha ubunifu wa mavazi baada ya kumvalisha Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu katika sherehe...
View ArticleSBL Yakabidhi Limo Bajaji kwa Washindi wake
Afisa mauzo wa kampuni ya bia ya Serengeti, Aman Kimaro( Kulia) akimkabidhi funguo ya Limo Bajaji Mshindi wa shindano la ‘Tutoke na Serengeti’ Godfrey Longino Mpiruka ( kushoto) na katikati ni...
View ArticleTawi Jipya la Uchumi Supermarket Lafunguliwa Mbezi Kawe
Mkurugenzi Mkuu wa Uchumi SuperMarket (Afrika mashariki), Jonathan Ciano (kulia) akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik katika ufunguzi wa Tawi jipya la Uchumi lililoko Mbezi...
View ArticleNi kweli umaarufu wa Wema Sepetu umeshuka baada ya kuachana na Diamond?
Miaka kadhaa iliyopita, Diamond Platnumz alikuwa kijana mwenye ndoto kama underground wengine wa muziki walivyo na hasira ya kutoka. Kutoka kwenye familia ya kawaida (kama zilivyo familia nyingi za...
View ArticleDiamond Azomewa Tena Leaders na Kurushiwa chupa za Maji zenye Mkojo ndani yake
Msanii anayetesa katika mziki wa kizazi kipya hapa nchini, Nassib Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa jumamosi iliyopita alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na...
View ArticlePicha za Mwenyekiti wa Kitongoji aliyechinjwa na kupikwa ndani ya Sufuria
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Songambele, Kata ya Ilela Tarafa Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi, Richard Madirisha (31), ameuawa kikatili kwa kuchinjwa shingo na kutenganishwa na kiwiliwili...
View ArticleKesi ya shekhe Ponda yaanza kusikilizwa chini ya Ulinzi mkali
Kesi inayomkabili kiongozi wa jumuiya na taasisi ya kiislamu nchini Sheikh Ponda Issa Ponda imeanza kusikilizwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro huku jeshi la polisi likilazimika...
View ArticleNCCR-Mageuzi wataka Rugemalira, Tibaijuka, Chenge wafikishwe mahakamani
Chama cha NCCR-Magezi kimesema, vigogo wote waliohusika kutoa na kupokea mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Tegeta Escrow wafikishwe mahakamani akiwamo Mkurugenzi wa VIP Engineering Ltd, James...
View ArticleTamko la UKAWA Laungwa mkono na Tume ya Warioba
Wajumbe wa iliyokuwa Tume ya mabadiliko ya Katiba nchini Tanzania imeunga mkono tamko la umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kwa kususia kushiriki katika mchakato wa upigaji wa kura ya maoni kuhusu...
View ArticleMganga wa jadi afungwa Jela Miaka 7
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu mganga wa kienyeji, Yahaya Michael (34) kifungo cha miaka saba jela baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa gari kwa njia ya udanganyifu. Akisoma hukumu hiyo...
View ArticleMume na Mke wafariki Dunia kwa kula Uyoga........Wengine wanne wako hoi...
WATU wawili wa familia moja wamefariki dunia katika Kijiji cha Masyalele, Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara baada ya kula uyoga unaosadikiwa kuwa sumu. Pia wengine wanne walazwa akiwamo mtoto wa miaka...
View ArticleWanaume Wadaiwa Kuwa Chanzo cha Mmomonyoko wa Maadili
TATIZO la kuporomoka kwa maadili ndani ya jamii ni kutokana na wanaume wengi kushindwa kutimiza wajibu wao ndani ya familia na jamii. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Dk Chris Mauki, Mshauri wa...
View ArticleWalioua polisi wasakwa usiku na mchana
JESHI la polisi mkoani Pwani linaendelea na msako mkali kutafuta watu walioua askari wawili wa jeshi hilo na kuiba silaha katika kituo cha polisi Ikwiriri wilayani Rufiji. Pia, jeshi hilo...
View Article"Katiba Inayopendekezwa ipo kisheria,hakuna anayeweza kuipinga wala...
Serikali imesema katiba pendekezwa iko kisheria na hakuna mtu yeyote anayeweza kuipinga wala kuipotosha, bali kauli ya mwisho ni ya serikali. Kauli hiyo imetolewa na waziri wa habari utamaduni na...
View ArticleWanaorudisha wanafunzi kwa kukosa michango kukiona
HALIMASHAURI ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga imewaonya walimu wa shule za msingi wanaopuuza agizo la serikali la kuzuia kuwarudisha nyumbani wanafuzi ambao wazazi wao wanashindwa kuwalipia michango...
View ArticleAliyejifanya ni TRAFIKI Afungwa Miaka 6 Jela
Aliyejifanya Askari Polisi wa Usalama Barabarani, James Hassan (54) amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na sare za Polisi na kujifanya mtumishi wa jeshi...
View ArticleKigogo wa Benki Kuu ( BoT) Kizimbani kwa Jaribio la Kuua Polisi
Mshauri wa masuala ya ulinzi katika Benki Kuu (BoT), Shaban Ndosi (39) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kujaribu kumuua ofisa wa Polisi. Ndosi...
View ArticleWatoto wanne wa familia moja wafariki kwa sumu
Watoto wanne wa familia moja wakazi wa kijiji cha kibambila wilayani Kakonko mkoani Kigoma wamefariki dunia na mmoja amelazwa katika kituo cha afya Kakonko baada ya kula chakula kinachosadikiwa kuwa...
View ArticleMwanamke Awaua watoto wake wawili na Kuwazika ndani ya Nyumba Yake
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mama mkazi wa kata ya Chemchem Manispaa ya Tabora, Zuhura Masudi (pichani) mwenye umri wa miaka 25, kwa kosa la kuwanyonga watoto wake wawili hadi kufa....
View ArticleWaziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene aahidi Neema sekta ya...
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene na Naibu wake, Charles Mwijage waliripoti katika ofisi zao mpya na kuahidi kuwatumikia wananchi kwa uadilifu na kuhakikisha wanasambaza umeme vijijini...
View Article