Bunge Linaanza Leo.....Miswada Mitatu Itajadiliwa, Umo ule wa Kuanzisha...
Mkutano wa 18 wa Bunge unatarajiwa kuanza leo mjini Dodoma, lakini hoja nzito ambazo zinatarajia kuibua mijadala mizito ni Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2014 na taarifa za...
View ArticleAunt Ezekiel: Mimba haijanibadili Tabia
Huku kukiwa na tabia kuwa baadhi ya wanawake wanapokuwa wajawazito wanakuwa na tabia za kusumbua na kubagua baadhi ya vitu, msanii wa filamu za Kibongo Aunty Ezekiel ‘Mama Kijacho’, amesema kwa upande...
View ArticleJukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni
Wakati macho na masikio ya Watanzania wengi yakielekea mjini Dodoma kesho katika vikao vya Bunge vinayotarajia kujadili Muswada wa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali, Jukwaa la Wakristo nchini limeitaka...
View ArticleHuyu ndiye aliyekuwa msichana ‘special’ kwenye birthday ya Millard Ayo
Mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Millard Ayo, jana alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Kwenye party yake ndogo ambayo aliamua kuifanyia nyumba kwake, ni msichana mmoja tu...
View ArticleHakuna wa kutembelea nyota yangu -Ray C
Mwanamuziki Ray C ambae alitamba miaka ya nyuma na ngoma kali kibao ikiwemo Na wewe milele,Sogea sogea na nyingine nyingi amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hakuna mtu atakae weza kutembelea nyota...
View ArticleDemu wa Kenya Tiara Arudi Tena....Atuma Video Nyingine kwa Diamond Akiwa...
Kuwa Staa raha sana.Baada ya Diamond kutumiwa video na mrembo wa Kenya akimtaka amchukukue yeye bila Malipo huku akijichezesha kimahaba kwenye hiyo video, Diamond inaonekana hakupata Ujumbe wa kwanza...
View ArticleWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Amsuta Kamanda Kova kuhusu Panya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema Watanzania wamepoteza imani na Jeshi la Polisi na ameliagiza kujitathmini na kutoa majibu kuhusu kukamatwa kwa vijana 1,200 wa kikundi cha...
View ArticlePolisi Wavamiwa tena na Majambazi.....Wajeruhiwa na Kuporwa Bunduki Mbili
Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamewavamia na kuwajeruhi askari mwenye no G369 PC Mansour na Hv507 PC Mwalimu, wakiwa doria ya pikipiki ambao walinyang'anywa silaha mbili aina ya SMG no 14301230...
View ArticleKutoka Bungeni: Muswada wa Takwimu wadunda tena bungeni, warudishwa
Muswada wa Sheria ya Takwimu uliokuwa uwasilishwe bungeni katika mkutano wa 18, hautawasilishwa tena hadi hapo taratibu za kikatiba zitakapokamilika. Taarifa ya kutowasishwa kwa muswaada huo bila...
View ArticleUCHAGUZI MKUU 2015: "Watakaopitishwa kugombea Urais wote wapimwe afya zao...
Wagombea nafasi ya urais kwenye Uchaguzi Mkuu ujao wameshauriwa kupima afya zao kabla ya kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho, ili kuepuka gharama za matibabu ya mara kwa mara za kiongozi huyo mkubwa...
View ArticleAIBU: Shilole Amchapa Makofi Mpenzi wake Nuhu Mziwanda
Jumamosi iliyopita ndani ya Tamasha la Kiboko Yao lililofanyika Leaders Club, Gazeti la Makorokocho lilishudia live Msanii Shilole akimchezeshea kichapo mchumba wake Nuh Mziwanda kwa madai kuwa Nuh...
View ArticleMabomu Yatawala Mbagala katika Maandamano ya CUF.....Profesa Lipumba na...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewakamata wananchama wa Chama cha Wananchi CUF 32 akiwemo Mwenyekiti Taifa wa chama hicho,Profesa Ibrahim Lipumba kwa kufanya maandamano ambayo si halali....
View ArticleSerikali yapiga marufuku shule binafsi nchini kuwafukuza wanafunzi...
Serikali imezipiga marufuku shule binafsi nchini kuwafukuza ama kuwasitishia masomo wanafunzi wanaoshindwa kufikia wastani na kwamba shule zote zitakazokiuka agizo hilo zitachukuliwa hatua kali ikiwa...
View ArticleChenge,Tibaijuka kuburuzwa baraza la Maadili
Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma litawaweka kiti moto watuhumiwa 9 ambao ni viongozi wanaohusishwa na kashfa ya akaunti ya uchotaji wa fedha kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow. Viongozi hao...
View ArticleKijana Auawa na Kutelekezwa Karibu na Kambi ya FFU
Kijana ambaye hakufahamika jina anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35 amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa katika eneo la kambi ya Polisi Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kata ya...
View ArticleWanasayansi ‘Bongo’ kusafisha maji ya kinyesi kuwa ya kunywa
Umeshikwa na kiu? Unaingia katika duka lililo jirani na kununua maji ya chupa kwa ajili ya kunywa. Lakini ukapatwa na udadisi kutaka kujua maji hayo yametengenezwa na nini. Unaposoma kilichotumika...
View ArticleSakata la Lipumba kupigwa jana: Vurugu zaibuka Bungeni, Spika Makinda...
Spika wa Bunge Anna Makinda leo amelazimika kuahirisha kikao cha Bunge kilichoanza jana, baada ya vurugu zilizotokea baada ya kutolewa kwa hoja binafsi kutoka kwa Mbunge na Mwenyekiti wa chama cha...
View ArticleMwenyekiti wa Wafanyabiashara nchini Afikishwa Mahakani chini ya Ulinzi Mkali
Mwenyekiti wa taifa wa jumuiya ya wafanyabishara bwana Johnson Minja aliyekamatwa na jeshi la Polisi juzi tayari leo tarehe 28 amefikishwa katika Mahakama kuu kanda ya Dodoma akikabiliwa na makosa...
View ArticleLipumba kupigwa: Bunge Lahairishwa tena hadi Kesho Asubuhi
Spika wa Bunge Anna Makinda jioni hii amelazimika kuahirisha tena kikao cha Bunge hadi kesho asubuhi kwa madai kuwa serikali bado inajipanga kutoa majibu sahihi kutokana na tukio la...
View ArticleKwa nini Leo Zitto Kabwe Alitia Mgomo wa kwenda kusoma taarifa ya PAC...
Wakati wa Vurugu za Asubuhi leo Bungeni, Spika wa Bunge alimtaka Mwenyekiti wa PAC, Mh Zitto Kabwe aende kusoma taarifa ya kamati yake.... Kilichotokea ni kwamba, Zitto alitia...
View Article