Wakati macho na masikio ya Watanzania wengi yakielekea mjini
Dodoma kesho katika vikao vya Bunge vinayotarajia kujadili Muswada wa
Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali, Jukwaa la Wakristo nchini limeitaka
Serikali isitishe kujadili marekebisho ya Sheria ya Tamko la Sheria ya
Kiislam ya mwaka 1964.
Taarifa iliyotolewa na Jukwaa hilo jana inasema
Muswada huo unaolenga kuanzishwa kwa
↧