Mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Millard Ayo, jana alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Kwenye party yake ndogo ambayo aliamua kuifanyia nyumba kwake, ni
msichana mmoja tu special aliyepata nafasi exclusive ya kusherehekea
naye – Jokate Mwegelo.
“This is what you do after you cook. You eat cake lol. Happy Birthday
to the GREATEST to ever do it @millardayo,
↧