Mwanamuziki Ray C ambae alitamba miaka ya nyuma na ngoma kali kibao
ikiwemo Na wewe milele,Sogea sogea na nyingine nyingi amefunguka na
kusema kuwa kwa sasa hakuna mtu atakae weza kutembelea nyota yake katika
muziki kwani sasa maisha yake ameyakabidhi
kwa Mwenyezi Mungu ambaye ndiye mlinzi wake na mwongozaji wake katika
maisha,Ray C amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instragram.
↧