Kuwa Staa raha sana.Baada ya Diamond kutumiwa video na mrembo wa Kenya
akimtaka amchukukue yeye bila Malipo huku akijichezesha kimahaba
kwenye hiyo video, Diamond inaonekana hakupata Ujumbe wa kwanza sawa
sawa....
Sasa Mrembo huyo amerudi tena na kali zaidi ya ile . Mrembo huyo
ajulikanae kama Tiara ameachia video nyiningine akiwa bafuni
akioga huku wimbo wa Bebe Cool unaitwa i
↧