Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema
Watanzania wamepoteza imani na Jeshi la Polisi na ameliagiza
kujitathmini na kutoa majibu kuhusu kukamatwa kwa vijana 1,200 wa
kikundi cha uhalifu maarufu Panya Road.
Waziri Chikawe aliyekuwa akifungua mkutano mkuu wa
mwaka kwa maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini, amelitaka jeshi
hilo kujiuliza na kutoa majibu
↧