Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamewavamia na kuwajeruhi askari
mwenye no G369 PC Mansour na Hv507 PC Mwalimu, wakiwa doria ya pikipiki
ambao walinyang'anywa silaha mbili aina ya SMG no 14301230 na 14303545
na watu wasio julikana mkoani Tanga.
Taarifa ya Jeshi hilo kwa vyombo vya habari imesema tukio hilo
limetokea Januari 26, 2015 majira ya saa 23:30hrs eneo la barabara 04
↧