Muswada wa Sheria ya Takwimu uliokuwa uwasilishwe bungeni katika
mkutano wa 18, hautawasilishwa tena hadi hapo taratibu za kikatiba
zitakapokamilika.
Taarifa ya kutowasishwa kwa muswaada huo bila
kutaja sababu zilitolewa na Spika wa Bunge, Anne Makinda, muda mfupi
kabla ya kuahirisha kikao cha leo.
“Muswada wa Takwimu unaondoka kwasababu bado serikali inataka kuufanyia kazi,”
↧