Wagombea nafasi ya urais kwenye Uchaguzi Mkuu ujao wameshauriwa
kupima afya zao kabla ya kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho, ili
kuepuka gharama za matibabu ya mara kwa mara za kiongozi huyo mkubwa wa
nchi.
Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Jukwaa la
Katiba, Deus Kibamba alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini
Dar es Salaam leo, ambapo pamoja na wagombea urais
↧