Spika wa Bunge Anna Makinda jioni hii amelazimika kuahirisha tena kikao cha
Bunge hadi kesho asubuhi kwa madai kuwa serikali bado inajipanga kutoa majibu sahihi kutokana na tukio la kupigwa mabomu Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba.
Kuahirishwa kwa bunge kumetokana na vurugu zilizotokea leo asubuhi bungeni baada ya
kutolewa kwa hoja
↧