Mwenyekiti wa taifa wa jumuiya ya wafanyabishara bwana Johnson Minja aliyekamatwa na jeshi
la Polisi juzi tayari leo tarehe 28 amefikishwa katika Mahakama kuu
kanda ya Dodoma akikabiliwa na makosa mawili ambayo ni :
1.kosa la
uchochezi.
2.Kuhamasisha wafanya biashara kukataa matumizi ya mashine za
kieletronic za kutolea risiti za EFDs.
Wafanyabiashara wa soko la kariakoo
↧