Spika wa Bunge Anna Makinda leo amelazimika kuahirisha kikao cha
Bunge kilichoanza jana, baada ya vurugu zilizotokea baada ya
kutolewa kwa hoja binafsi kutoka kwa Mbunge na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia kuhusu jeshi la polisi kumshambulia Profesa Ibrahimu Lipumba jana akiwa kwenye maandamano .
Akizungumza katika Bunge hilo Mbatia amesema kuwa
kitendo cha polisi
↧