Umeshikwa na kiu? Unaingia katika duka lililo
jirani na kununua maji ya chupa kwa ajili ya kunywa. Lakini ukapatwa na
udadisi kutaka kujua maji hayo yametengenezwa na nini. Unaposoma
kilichotumika kutengeneza maji hayo, unagundua kuwa yametengenezwa kwa
kinyesi.
Je, utakunywa au kiu yako ya maji itakatika kwa kinyaa na mshangao.
Kama ilivyowezekana Marekani katika Kampuni ya
↧