Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewakamata
wananchama wa Chama cha Wananchi CUF 32 akiwemo Mwenyekiti Taifa wa
chama hicho,Profesa Ibrahim Lipumba kwa kufanya maandamano ambayo si
halali.
Awali polisi ilizuia maandamano yaliyokuwa
yamepangwa na chama hicho ya kuadhimisha kukumbuka ya miaka 14 tangu
kufanyika kwa mauaji na mateso ya wananchi wa Zanzibar na Bara
↧
Mabomu Yatawala Mbagala katika Maandamano ya CUF.....Profesa Lipumba na wafuasi wake watiwa mbaroni
↧