Serikali imezipiga marufuku shule binafsi nchini kuwafukuza ama
kuwasitishia masomo wanafunzi wanaoshindwa kufikia wastani na kwamba
shule zote zitakazokiuka agizo hilo zitachukuliwa hatua kali ikiwa ni
pamoja na kufutiwa usajili.
Serikali pia imesema kuwa kuanzia mwaka 2016 itaanza kutoa elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha Nne.
Onyo hilo la serikali kwa wamiliki wa
↧