Profesa Lipumba Azidiwa ghafla akiwa Mahakamani, akimbizwa Hospitali.....Kesi...
Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof.Ibrahimu Lipumba hali yake kiafya sinzuri baada ya kubadilika gafla wakati akiwa katika mahakama kuu ya Kisutu Jijini Dar es Salaam na hivyo kukimbizwa katika...
View ArticleUtata wa video ya Mchungaji iliyozagaa mitandaoni akiwa UCHI Afrika Kusini
Mchungaji maarufu Afrika Kusini Sthembiso Zondo ambae huwa anatoa mahubiri yake kwa njia ya Redio nchini humo, ratiba ya kurushwa kwa mahubiri yake imesimamishwa kurushwa hewani baada ya kuvuja video...
View ArticlePolisi Wamkamata Wema Sepetu Akidaiwa Kupiga Muziki kwa Sauti Usiku
Katika hali ya kushangaza, polisi walijikuta wakipata shughuli pevu kumkamata staa asiyeishiwa matukio Bongo, Wema Sepetu ambaye alidaiwa kupiga muziki kwa sauti kubwa usiku kucha pasipo kuwa na...
View ArticleNyumba zaidi ya 50 zaezuliwa kwa mvua Tunduru
Zaidi ya nyumba 51 katika kijiji cha Sisi kwa Sisi tarafa ya Mlingotini wilayani Tunduru mkoani Ruvuma zimeezuliwa kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Ruvuma. Mvua...
View ArticleNdoa ya Wolper Yabuma......Wazazi wa Manaiki Sanga Wamkataa
Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda kumposa staa wa kike Bongo, Jacqueline Wolper. Akizungumza...
View ArticleWahudumu wa Mochwari huko Simiyu Wagoma Kuzika Maiti Iliyoharibika
Wahudumu wanaofanya kazi katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wamegoma kuzika miili ya watu iliyoharibika na isiyotambuliwa kwa madai kuwa...
View ArticleMasheikh: Maaskofu msiingilie mchakato wa mahakama ya kadhi
TAASISI ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, imepinga tamko la maaskofu kuhusu kuzuia kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi na kusema hatua hiyo ni sawa na kuingilia uhuru wa Bunge. Kutokana na...
View ArticleNimefanikiwa kuipata Hotuba ya Lipumba Aliyotakiwa kuisoma wakati wa...
Siku ya leo siyo siku ya furaha hata kidogo na wala si siku ya kujifaharisha, ni siku ya kihistoria kwa chama chetu, ni siku ya kukumbukwa sana. Miaka kumi na nne iliyopita tarehe kama ya leo tarehe...
View ArticleNimekuwekea Video ya dakika 10 ya Kipigo kizito Alichopewa Lipumba pamoja na...
Hii ni Video ya kichapo kizito toka kwa polisi walichopewa wanachama wa CUF wakati wa maandamano yalioyoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba.
View ArticleSister wa Kanisa Katoliki Ajifungua Mtoto wa Kiume
Utata umeibuka baada ya sister wa Kanisa Katoliki huko Italy aliyekuwa akilalamikia maumivu ya tumbo na kukimbizwa Hospitali na kujifungua mtoto wa kiume licha ya kuishi katika Jumuiya hiyo ya...
View ArticleQueen Darleen Achochea Bifu la Diamond na AliKiba
Mwanamuziki ambae ni dada na Diamond Platnum Queen Darleen amezidi kuchochea chuki na bifu kwa mashabiki wa Ali Kiba na Diamond Platnum baada ya kupost maneno ambayo mashabiki hao wanaona ni kama...
View ArticleBunge Limejadili Sakata la Profesa Lipumba Kupigwa wakati wa...
Leo Bunge Limejadili hoja ya dharura ya Mh.Mbatia juu ya kupigwa kwa Mh.Lipumba wakati wa mkutano wake na wananchi wakati wa kumbukumbu ya mauaji ya wenzao waliokuwa wamefariki Pemba 2001. Hoja...
View Article"Kuna Tatizo gani Lipumba Kupigwa?.....Nawapongeza sana Polisi kwa...
Kulikuwa na mvutano mkali sana bungeni wakati wabunge wakijadili hoja ya Lipumba kupigwa. Hapo chini nimekuwekea michango ya Lusinde na Sadifa waliyoitoa Bungeni: Lusinde: Kwani...
View ArticlePolisi: Tulizuia Maandamano ya CUF Kuhofia Bunduki Zilizoibiwa Ikwiriri
Jeshi La Polisi limetoa sababu za kwanini lilizuia maandano ya wafuasi na viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kwamba ni kutokana na kuibwa kwa bunduki saba katika kituo cha Polisi Ikwiriri wilayani...
View Article"Zoezi la Kupigia kura Katiba inayopendekezwa Liko Pale pale"....Hii ni kauli...
Serikali imewahikikishia watanzania kuwa zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura katika daftari la kudumu kwa mfumo wa kieletronik BVR litafanyika kwa ufanisi na ndani ya wakati uliopangwa. Akijibu...
View ArticleMsimamo wa Serikali: CUF inatafuta Umaarufu wa Kisiasa, Walikaidi Amri na ndo...
Akifafanua Bungeni kuhusu CUF kupigwa na Polisi, Waziri wa Mambo ya Ndani Mathias Chikawe amesema Chama cha CUF kilitimiza masharti yote lakini polisi ina haki ya kuzuia endapo itajiridhisha kuwa kuna...
View ArticleCUF yaapa kuendelea na maandamano kila mwaka
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema, hakitarudi nyuma na kitaendelea kufanya maandamano na mikutano ya hadhara kila Januari 26 na 27 kila mwaka kuazimisha mauaji ya wanachama wake yaliyotokea Zanzibar...
View ArticleBaby Madaha: Naota nafanya mapenzi kila siku
Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza sababu za kutodumu na wanaume kimapenzi kwamba ni kutokana na kuota anafanya mapenzi kila siku. Awali...
View ArticleWizi wa Kupindukia....Kamati ya Zitto Kabwe Yafichua namna Mabilioni ya Fedha...
TAARIFA ya mwaka ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), ya hesabu zilizokaguliwa za Serikali Kuu na mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2013, imebua wizi wa...
View ArticleMshindi wa Pili wa Mtoko wa Mbugani katika shindano la “Tutoke na Serengeti”...
Mshindi wa pili wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Deogratias Peter Mbogole (kushoto) akiwa na rafiki yake Goodluck Shirima(kulia) ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti kukamilisha mtoko wao wa...
View Article