Jeshi La Polisi limetoa sababu za kwanini lilizuia maandano ya
wafuasi na viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kwamba ni kutokana na
kuibwa kwa bunduki saba katika kituo cha Polisi Ikwiriri wilayani
Rufiji, mkoani Pwani ambazo pengine zingeweza kutumika katika mkusanyiko
wa watu.
↧