Kulikuwa na mvutano mkali sana bungeni wakati wabunge wakijadili hoja ya Lipumba kupigwa. Hapo chini nimekuwekea michango ya Lusinde na Sadifa waliyoitoa Bungeni:
Lusinde: Kwani kupigwa Lipumba ndiyo tatizo, wamepigwa viongozi wangapi hapa, Lipumba siyo wa kwanza kupigwa
Lusinde: Nawapongeza Polisi safari hii kapigwa muhusika mwenyewe, ndiyo
nzuri hiyo, siyo
↧