Leo Bunge Limejadili hoja ya dharura ya Mh.Mbatia juu ya kupigwa kwa Mh.Lipumba wakati wa mkutano wake na wananchi wakati wa kumbukumbu ya mauaji ya wenzao waliokuwa wamefariki Pemba 2001.
Hoja hiyo imejadiliwa kwa mujibu wa kifungu cha 47 ambapo msemaji wa kwanza alikuwa ni Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye alisimama kutoa msimamo wa serikali.
Waziri wa
↧