Serikali imewahikikishia watanzania kuwa zoezi la uandikishwaji wa
wapiga kura katika daftari la kudumu kwa mfumo wa kieletronik BVR
litafanyika kwa ufanisi na ndani ya wakati uliopangwa.
Akijibu
swali la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe
kuhusu uhakika wa zoezi hilo, Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda amesema tume
ya uchaguzi imeihakikishia serikali kuwa
↧