Akifafanua Bungeni kuhusu CUF kupigwa na Polisi, Waziri wa Mambo ya
Ndani Mathias Chikawe amesema Chama cha CUF kilitimiza masharti yote
lakini polisi ina haki ya kuzuia endapo itajiridhisha kuwa kuna uvunjifu
wa amani.
Chikawe amesema CUF wakiongozwa na kiongozi wao walikaidi amri ya
polisi, na ndiyo maana walipigwa.
Pia ameongeza kuwa
CUF inatafuta umaarufu wa kisiasa na huruma
↧