Katika hali ya kushangaza, polisi walijikuta
wakipata shughuli pevu kumkamata staa asiyeishiwa matukio Bongo, Wema
Sepetu ambaye alidaiwa kupiga muziki kwa sauti kubwa usiku kucha pasipo
kuwa na kibali.
Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita, nyumbani kwa mwigizaji huyo,
Kijitonyama jijini Dar kulikokuwa na bethidei ya rafiki yake
aliyejulikana kwa jina moja la Neema.
Awali
↧