Mchungaji maarufu Afrika Kusini Sthembiso Zondo
ambae huwa anatoa mahubiri yake kwa njia ya Redio nchini humo, ratiba
ya kurushwa kwa mahubiri yake imesimamishwa kurushwa hewani baada ya
kuvuja video inayomuonyesha akizungumza kwenye simu huku akiwa hajavaa
nguo yoyote.
Shirika la utangazaji la Afrika Kusini (SABC) limetoa
amri ya kusimamishwa kwa Kipindi cha mchungaji huyo hadi
↧