Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof.Ibrahimu Lipumba hali yake kiafya sinzuri baada ya kubadilika gafla wakati akiwa katika mahakama kuu ya Kisutu Jijini Dar es Salaam na hivyo kukimbizwa katika Hospitali ya UN kinondoni DSM.
Lipumba alifikshwa mahakamani hapo na kusomewa mashitaka ya kuongoza
maandamano haramu.Profesa huyo akiwa na wafuasi wake wameachiwa kwa
dhamana na kesi yao
↧