Zaidi ya nyumba 51 katika kijiji cha Sisi kwa Sisi tarafa ya Mlingotini
wilayani Tunduru mkoani Ruvuma zimeezuliwa kufuatia mvua zinazoendelea
kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Ruvuma. Mvua hizo zimekuwa zikiambatana na upepo mkali pamoja na radi.
Akizungumza kwa njia ya simu mkuu wa wilaya ya Tunduru Chande Nalicho
amesema tukio hilo la mvua kubwa kunyesha huku ikiambatana
↧