Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika
wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda
kumposa staa wa kike Bongo, Jacqueline Wolper.
Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa hivi karibuni
alifunga safari na kwenda kijijini kwao Mbeya kwa ajili ya kuwaeleza
wazazi wake nia yake ya kumuoa Wolper lakini imekuwa tofauti kwani
↧