Wahudumu wanaofanya kazi katika chumba cha kuhifadhia maiti katika
Hospitali ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wamegoma kuzika miili ya
watu iliyoharibika na isiyotambuliwa kwa madai kuwa hawajalipwa
mishahara yao kwa kipindi cha miezi sita.
Tarifa ya kugoma kwa wahudumu hao imekuja baada ya kuwapo kwa maiti ambazo hadi sasa zimeshindikana kuzikwa.
Wakizungumza na waandishi
↧