Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya
mwaka baada ya kueleza sababu za kutodumu na wanaume kimapenzi kwamba ni
kutokana na kuota anafanya mapenzi kila siku.
Awali rafiki wa Madaha aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema kuwa, mara kwa mara msanii huyo amekuwa akilalamika kuwa kila
siku anaota akifanya mapenzi hali inayomfanya asiwe na hamu ya kuwa na
↧