Chama cha Wananchi (CUF) kimesema, hakitarudi nyuma na
kitaendelea kufanya maandamano na mikutano ya hadhara kila Januari 26 na
27 kila mwaka kuazimisha mauaji ya wanachama wake yaliyotokea Zanzibar
mwaka 2001.
Katika maadhimisho yaliyofanyika mwaka huu,
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na wanachama 32 wa chama
hicho walipigwa kisha kushikiriwa na Jeshi la Polisi kwa
↧