TAARIFA ya mwaka ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali
(PAC), ya hesabu zilizokaguliwa za Serikali Kuu na mashirika ya umma kwa
mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2013, imebua wizi wa kutisha wa fedha
za umma uliofanywa na taasisi hizo.
Hayo yalibainika jana wakati Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe, alipokuwa
akiwasilisha ripoti ya kamati hiyo, ambapo alisema katika ripoti
↧
Wizi wa Kupindukia....Kamati ya Zitto Kabwe Yafichua namna Mabilioni ya Fedha yanavyoibiwa Serikali
↧