Siku ya leo siyo siku ya furaha hata kidogo na wala si siku ya
kujifaharisha, ni siku ya kihistoria kwa chama chetu, ni siku ya
kukumbukwa sana.
Miaka kumi na nne iliyopita tarehe kama ya leo tarehe
27 Januari, 2001 na tarehe kama ya jana tarehe 26 Januari 2001,
Wanachama wenzetu waliojitoa muhanga, leo hii hawapo wamekwenda mbele ya
haki katika siku kama hii, mama zetu na dada zetu
↧