Utata umeibuka baada ya sister wa Kanisa Katoliki huko Italy
aliyekuwa akilalamikia maumivu ya tumbo na kukimbizwa Hospitali na
kujifungua mtoto wa kiume licha ya kuishi katika Jumuiya hiyo ya
wanawake watupu.
Sister huyo mwenye umri wa miaka 31 yupo kwenye kikundi cha masista cha Santa Chiara Italy,
asili yake ni Amerika ya Kusini, alilalamikia maumivu makali ya tumbo
baadaye
↧