MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu mganga wa kienyeji, Yahaya Michael (34) kifungo cha miaka saba jela baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa gari kwa njia ya udanganyifu.
Akisoma hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi Mwandamizi, Hassan Juma alisema kwamba kutokana na mshitakiwa kutoroka chini ya dhamana, atatumikia kifungo hicho mara baada ya kukamatwa.
Alisema kwa kuwa mshitakiwa
↧